Search

533 results for Joseph Lyimo :

  1. PRIME Mtumishi Hanang atupwa jela miaka 20 kwa wizi wa sh3.5 milioni

    Wananchi wa Katesh wanaamini adhabu kama hizo zinasaidia kupunguza ufisadi miongoni mwa watumishi wa umma.

  2. Shangingi lililosafirisha wahamiaji haramu Manyara lataifishwa

    Gari hilo lilipokamatwa lilikuwa na namba mbili za usajili ikiwemo namba za Serikalina za binafsi ambazo zimebainika ni za kughushi.

  3. 'Serikali haitaanzisha mapori tengefu kwenye miradi ya maendeleo’

    Serere amesema Serikali imeshatoa fedha nyingi za maendeleo kupitia miradi ya maendeleo, hivyo haitawafukuza watu bali ni maneno potofu.

  4. Waethiopia wadakwa Manyara, gari yakutwa na namba ya Serikali

    Polisi wameomba ushirikiano wa raia kuwafichua wanaojihusisha na vitendo hivyo

  5. Bashungwa awabana makandarasi wazembe

    Mtendaji Mkuu wa Tanroads, Mohamed Besta amesema zabuni kwa ajili ya ujenzi wa sehemu ya pili, Dareda Mission hadi Dongobesh wa kilomita 53 inatarajiwa kutangazwa mwaka wa fedha 2024/25.

  6. Ole Sendeka: Kama shida kuwatetea wananchi sitarudi nyuma

    Asema bunduki mbili za kivita, SMG na AK 47 zilihusika

  7. Ole Sendeka kuzungumza kushambuliwa kwake mchana huu

    Ole Sendeka na dereva wake Machi 29, 2024 gari lao lilishambuliwa kwa risasi walipofika eneo la Ndaleta wilayani Kiteto akielekea jimboni kwake.

  8. Ole Sendeka atoa kauli kushambuliwa, akumbuka tukio la Tundu Lissu

    Amesema anamshukuru Mungu amenusurika baada ya kupigwa risasi na watu wasiojulikana wilayani Kiteto akienda jimboni kwake.

  9. Gari la Ole Sendeka lashambuliwa kwa risasi

    Gari la mbunge wa Simanjiro (CCM) mkoani Manyara, Christopher Ole Sendeka, limeshambuliwa kwa risasi akiwamo ndani.

  10. Bendera ya CCM yadaiwa kutumika kusafirisha wahamiaji haramu

    Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Manyara, John Nzwalile amelaani kitendo cha watuhumiwa wa usafirishaji wahamiaji haramu kutumia bendera ya chama hicho kufanyia...

Page 1 of 54

Next